Duration 2:50

Tazama jinsi waumini wa dini ya kiislam walivyokua wakipigana katika msikiti wa kigogo leo.

1 117 watched
0
5
Published 21 Jul 2021

Vurugu zimetokea hivi punde katika msikiti wa kigogo jijini Dar es Salaam, chanzo hakijajulikana hadi sasa na aliyeleta vurugu ametolewa nje ya msikiti. #kigogo #wauminiwakipiganamsikitini #watwanganangumimsikitini #beautymasatu @beautymasatu1200

Category

Show more

Comments - 1