Duration 21:33

Nyumba Aliyofichwa Mo Dewji, Aliyeshiriki Kumteka Vyaoneshwa

328 213 watched
0
1.2 K
Published 11 Nov 2018

Nyumba Aliyofichwa Mo Dewji, Aliyeshiriki Kumteka Vyaoneshwa!! Nyumba inamodaiwa kufichwa Mohamed Dewji mara baada ya kutekwa Okotoba 11, 2018 katika Hoteli ya Colessium imegundulika na imeoneshwa leo na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa. Nyumba hiyo ipo Mbezi Beach, mtaa wa Mwansasu jijini Dar es salaam. Imeelezwa watekaji walipanga nyumba hiyo kwa dola 1500, walikuwa ni raia wa Afrika Kusini na kwamba Oktoba 20 baada ya kumuachia na kumtelekeza katika viwanja vya Gymkhana, vilivyopo maeneo ya Posta waliondoka katika jiji la dar kupitia kwa kutumia usafairi wa mabasi ya abiria. Dereva Taksi aliyetawafutia nyumba na kuwatembeza mjini, amekamatwa na ameongea mbele ya wanahabari kutoa ushuhuda wake kuhusu kutekwa kwa Mo Dewji.. #MoDewji #Mambosasa Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

Category

Show more

Comments - 719