Duration 9:22

Napiga Sarakasi hapa, Niruhusu Nipige mimi ni mtalaam balaa | Tulia aangua kicheko - Mbunge wa Mbulu

37 993 watched
0
71
Published 18 May 2021
Show more

Comments - 35
  • @
    @peterpaschal45223 years ago Hongera sana ww ndy watu tunaowahitaji 1
  • @
    @joshuajeremiah8683 years ago Hongera mbunge wangu wakumbushe Barbara yahaydm itengenezwe kiwango Cha lami 1
  • @
    @clvinkimaro19933 years ago Hao ndy wabunge wenye uchungu na wananchi wao je mbuge w arumeru mashariki uko wapi xax barabara y king'ori
  • @
    @williamkirway46203 years ago Flatei massay atakumbukwa,kwa mara ya kwanza kupigania Jimbo lake.awatetea karatu,simiyu,singida.hongera sana hadi Kwa tulia naibu spika umemtetea,toka Haydom-manyara tunakupata. 1
  • @
    @isackmwaluko84973 years ago Mbunge Wa bahi nolo unaona mwenzako anavyopigana!!!
  • @
    @sniperbogo62103 years ago Hahahahahahahahahah jamani wananchi mnaotokea kwa huyu mbunge hamjamboooooo!!!! 2
  • @
    @azariamaksibuxay87073 years ago Hogera Mkuu kwa kutupigania kuhusu barabara ,uko sahihi mkuu!
  • @
    @bikilamngashabani32633 years ago Sipika tulia hiyo barabara ya kutoka makongolosi kwenda ipole huoni umuhimu wake? Wakati chunya inadini au ...
  • @
    @donardmsomi84513 years ago Piga tu Mheshimiwa... Maana Mbunge wetu wa Simanjiro Manyara, sijawahi kusikia anaongea...wakati maji hakuna, barabara hakuna...duuuh
  • @
    @paulumbu47473 years ago Mh big up ila hatujasikia sauti ya serikali hongera kaka unatupigania 1
  • @
    @estherjonas84663 years ago Mbagala kisewe jamani nasisi tupiganie.
  • @
    @yunusimchala93063 years ago Ni kweli kodi TUNALIPA wote lakini maendeleo wanapendelewa wengine kuna barabara ya mtwara kupitia tandahimba na newala tangu UHURU nimejengwa kilomita 50 tu kati ya km 145 inaudhi sana sisi tunashalisha korosho kodi wanachukua barabara hawajengi kila waziri anapeleka miradi kwenye jimbo lake tu ...
  • @
    @pfadstarfadstar34623 years ago Mbunge wabuhidwe chukua solo balabalaya manyovu buhigwe hadi kasulu tope wanainchi tunatozwa elufu7 kwadakika35/kufika wabungewa manyovu kueniwaelewa sokukalia vitibungen
  • @
    @pfadstarfadstar34623 years ago Kweli Tanzania nikama familia ya panya MTO mzaz had mjukuuu
  • @
    @neyjohn9233 years ago Mbunge wa vunjo yupo huko bungeni kweli? Bora angeenda hata babu mrema jmn tungekuwa mbali
  • @
    @estherjonas84663 years ago Umbuge wa mbagala pata somo barabara yako huko.