Duration 17:43

EXCLUSIVE: MPAKA NYUMBANI KWA MKOJANI NILIENDA KWA WAGANGA, NIMEJULIKANA MWAKA JANA

141 612 watched
0
1.4 K
Published 2 May 2021

Mkojani ni muigizaji wa filamu Tanzania ambaye amejizolea umaarufu kwa kipindi kifupi baada yakuonekana kwenye Filamu na vichekesho ambapo amesema amekaa kwenye sanaa kwa zaidi ya miaka 17 lakini ameenza kujulikana zaidi ndani ya hii miaka miwili Mkojani anasema kwa sasa anawasimamia wasanii 15 kutoka sehemu mbalimbali Tanzania kwa lengo lakiwasaidia lakini kabla yakujulikana alishawahi kwenda kwa waganga ili wamsaidie aweze kutoka lakini ilishindikana nakusema kilichomsaidia ni kumuamini Mungu

Category

Show more

Comments - 168