Duration 10:9

KUMEKUCHA MAMA DIAMOND NA MUME WAKE WAZUA GUMZO, WAPOST PICHA HIZI, WEMA SEPETU NA ESMA WATIA NENO

17 977 watched
0
150
Published 1 Oct 2020

Category

Show more

Comments - 62
  • @
    @carenalphonce50134 years ago Uyu mtangazaji nampenda akiadithia kitu mpk raha unaelewa sana autamani amalize kutangaza 16
  • @
    @irenejeremia64834 years ago Wabongo bwanaa!!! Angekuwa Mzungu ametuma picha kama hizo kwa Umri kama huo,wala wasingesema kitu...kwani kuogelea kunatakiwa watoto na vijana tu!? Wazee hawaogelei ktk S-pool?? 10
  • @
    @joyanambuya36954 years ago Utuuzima mwisho chanika bibi wee acha hare rahaaa zake kabla ajafaaaa hongeren Jamani mungu akuweken 2
  • @
    @sakinamarjebi22064 years ago Waacheni jamani kwa raha zao me nawapenda bureeee😍 1
  • @
    @queennanalexabrembo74454 years ago Jmn mm wakwanza jaribun kunip lk zenu wapendwa alafu diamond akitamba na zari munaanza maneno eti yuko anadeti namtumzim wakar mama yake mwenyew niyale yale acheni zenu jamen mapnz uwa ayachaguw mupendan zenu 6
  • @
    @zabibunduwimana46124 years ago Bibi Tiffa hongereni Insha Allah mudumu jipeni raha 2
  • @
    @marymtemahanji25714 years ago Mwenyezi Mungu awadumishe ktk ndoa yenu 1
  • @
    @salimali19004 years ago Raha jipe mwenyewe mama. Umetisha. Hongera sana , asiye penda asage chipa ameze ,♥️ 1
  • @
    @madinahuoniungoachenikumse79194 years ago Wabongo kwa husda hamjambo kwami huyo mama anaukubwa gani wivu wabongo ndo maana hamuendelei kimaendeleo kazi kufatilia yasio wahusu 2
  • @
    @dottnatt71104 years ago Watuache bhanaa wee watu wanamika 20ktk ndoa wao 3kutuchosha pesa sinawawasha tu mngelikuwa wenzangu na mm tusingeona haya. Pesa shikamooooo🙌🙌 1
  • @
    @jamilaezekiel61744 years ago Jmn mambo ya kuogelea hayo tuyaache mm nawaombea kwa mungu ndoa yenu idum 1
  • @
    @aishajussa76534 years ago Waja mna Mambo hawa ni wanandoa tatizo liko wapi acheni ushamba 2
  • @
    @salmaalbarwani26184 years ago Weka private kwa age hiyo kila kitu unachokifanya weka private haikatazwi jifurahishe in anyway you want 1
  • @
    @vero574 years ago Enjoy your self Madame, don't listen to people, 3
  • @
    @azzamahamdu70394 years ago Mhm kazi kwelkwel...mda mchache mambo ni mengi mpka yanachoshaaaa 1
  • @
    @rukiakhamsin92204 years ago Happy three year anniversary, nawapenda sana😍😍😍Allah awabariki na ndoa yenu 1
  • @
    @alajmialajm87944 years ago Mungu awajalie. Wakipost ni kwa raha zao 1
  • @
    @achawanunetv11674 years ago Fatma na Juma Lokole mkioana itapendeza sana na umbea utapata sifa nyingi duniani 4
  • @
    @janatahmad70484 years ago mapensi yauzeheni ni raha 😂😂😂😂😂😂😂waache wafurahiye ya kwaoo tres bon tres interessant Amour❤❤❤ 1
  • @
    @mgeniali74894 years ago Jaman mwachen mama wa wtu enjoy kwan sh ngap 1
  • @
    @wivinemwamini91104 years ago Anafurahiya Maisha kama anashida anawezafanya vile 1
  • @
    @halima238624 years ago Picha Zao maisha Yao. Kama mzazi wako anajiheshimu inatosha. 1
  • @
    @charitybaya53514 years ago Mm sioni shida na hizi picha let mama diamond be pia yy ako n freedom ya kuenjoy life yake 1
  • @
    @sakinaabdallah77134 years ago Si waende n'a wawo wakafanye hivyo duh jamani munataka Nini katika family hii iwapo si . Diamond ni mama ake wakomeni jamani wasterehi n'a life Zao . Mungu alowapatia 1
  • @
    @victorialucas90944 years ago waacheni jamani na wao ni watu na wana haki ya kufanya wakipendacho mbona wabongo mpo ivooooooo
  • @
    @estergodfrey41264 years ago Mbona cjaona shida? Ingekuwa hawana ndoa wangesema; sasa watu wana ndoa midomo ya nini? 1
  • @
    @aminamarie23874 years ago Ni mapeni hayo kama likuwa Hakuna mapeni mmmmmm tungeliona kama wangefika wapi but hingera kwao
  • @
    @gshjsj66014 years ago Mapnz ya ukwe ya bibi na babu hta kama munapendana muache kupost picha kama izi🤭🤭🤭 1
  • @
    @divinebernard26244 years ago Naipenda iyi couple saaaaaana ila watu sijuwi mko je,ndo maana mnaachwa kwaku shindwa ku wapatiya mahaba waume zenu eti umbri,poleni saaana ndo maana wanaume wenu wanatoka inje atakumpokeya mumewe unamtuma mtoto amupokeye eti umbri,ma fala nyinyi ...
  • @
    @bobjihn2644 years ago Nyiye wote kuma za mama yenu mahanisi wakubwa mafala watupu
  • @
    @halima238624 years ago Me angekuwa Ame ana swimsuit 🩱 ingekuwaje?????? Mmengeongea mpaka mate yawakae 1
  • @
    @danielhumble42924 years ago Hii sio heshima kwa watu wazima kama hawa..
    Huu ni ushetani
    5
  • @
    @rahelmasiga15034 years ago Hawajiheshimu kwani wamenyea bakuli ?wacheni maisha mafupi Sana Kama una uwezo wacheni waponde Raha .pool kawaida kujiachia .nyie mnaeongea mnatamani Sana maisha yake uwezo hamna .mnataka akaogee mbinguni ?
  • @
    @wivinemwamini91104 years ago Warikazana munaona shilole nauchemba tumewasahau
  • @
    @bettykadzo20074 years ago Esma bora uache umbea nakiburi ndio utadumu kwenye ndoa pesa za kakako sio zako
  • @
    @gshjsj66014 years ago Mungu anaona na ulimwengu unaona atukatai kitu munachokifanya lakini munatia aibu au kwa 7bu ya pesa mulizo nazo nyie Mungu atawapatia azabu mutajutia nyie lakin munajua kwa nn??co kwa ajir ya mapenz kwa ajiri ya kukuzalilisha ulimwengu kama bdo unajiic wee mtoto mdg mbona uzai kua na adabu fanya vitu vinalingana na umri acha sisi watt wadg tufanye ivyo lkn co nyie mnatia aibu kuona mbingu itakua ngum🤮🤮🤮🤮🤮🤫🙂 ... 1
  • @
    @halima238624 years ago Kwani kosa Liko wapi , Wabongo ni washambaaaaaaaa mnoooooooo . Mapenzi hayana Umri 1
  • @
    @jumajay84964 years ago Uchafu tu ni ulimbukeni ushamba mediocre unawasumbua.
  • @
    @tabuomary10164 years ago Kama unataka kuolewa na wewe nenda ukaolewe Kama rahisi.