Duration 8:14

MALEBO NA GWAJIMA WAKUTANA MOSHI

22 528 watched
0
143
Published 10 Jan 2020

Askofu Gwajima alikuwa mtumishi wa Mungu wa kwanza kushangilia wokovu wa Malebo. Alituma tiketi ya ndege Malebo atafutwe kokote apelekwe Dar. Mtumishi Munishi nilifanya hivyo na nikahakikisha Askofu Gwajima amekutana na Malebo uso kwa uso Dar kwenye kanisa la Ufufuo na uzima. Walipokutana Malebo alifurahia makaribisho ya kifalme aliyopewa, kwani alikodishishiwa chumba katika hoteli ya kifahari Dar ambapo aliambiwa ale apendacho asubuhi mchana na jioni, bila kusahau safari ya kutumia ndege kwa mara ya kwanza . Malebo husema Munishi ni baba yake kiroho, lakini hawezi kumsahau baba mdogo kiroho Askofu Dr Gwajima kwani alimtia moyo wa kuendelea katika imani. Mwaka 2020 yaonekana Malebo atamuona baba mdogo wake kiroho askofu Dr. Josphat Gwajima Moshi Tanzania ambako amerudi kwa mkutano wa Injili. Tarehe 12 hadi 19 January tukutane uwanja wa Memorial Moshi umuone Malebo live! Akiwa na meno ya kubadika na mavazi ya kupendeza.

Category

Show more

Comments - 35