Duration 2:50

Uwekezaji mdogo unavyowanyanyua wasiojua kusoma na kuandika

196 watched
0
3
Published 25 Jun 2020

Ni wakazi wa kijiji cha Selela huko Monduli Tanzania. Wanatumia mfumo wa picha kutambua kiasi cha vipande vya hisa walivyonunua. uwekezaji huu umewasaidia kuendesha shughuli za kilimo, kufunga mifumo madhubuti ya uzalishaji wa gesi asilia. Video na Hawa Bihoga#Kurunzi 25.06.2020

Category

Show more

Comments - 0