Duration 1:00

JINSI RAIS SAMIA ALIVYOCHANJWA.

78 watched
0
3
Published 28 Jul 2021

#samia #majaliwa #chanjo Rais wa Jamhuri ys Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo akiwa Ikulu, Dar Es Salaam amepata Chanjo ya Ugonjwa wa Corona. Rais Samia Suluhu amewatoa hofu watanzania na kusema kuwa chanjo hiyo ni salama na kutoa rai kwa Watanzania kujitokeza kupata chanjo hiyo muhimu.

Category

Show more

Comments - 0