Duration 14:16

DADA ASIMULIA KWA VILIO MKASA MZIMA WA S2KIZZY KUVAMIWA/MREMBO ALIVYOFANYIWA VITENDO VYA KINYAMA

66 535 watched
0
568
Published 15 Oct 2020

Katika tukio lililotrend kwenye mitandao ya kijamii la prodyuza mkubwa S2kizzy kuvamiwa katika studio yake na kufanyiwa vurugu pamoja na vitendo vya kinyama.

Category

Show more

Comments - 228
  • @
    @robbemanase90514 years ago Hongera sana carry mastory, una reporters bora zaidi ya wengine, wame report hili tukio kwa ufasaha zaidi na kueleweka zaidi.
    baada ya kuwashtaki huu ni unyanya saji wa hali ya juu hauwezi vumilika, sheria ifuate mkondo, lawyers wajitokeze kutengeneza pesa hapo, pasu kwa pasu, ushahidi wite upo hapo, lazima kampuni iwajibishwe. ...Expand
    14
  • @
    @BEINGANASTAZIA4 years ago This made me cry, inaumiza sana. I hope justice will prevail. 6
  • @
    @aminamwangile40204 years ago Maelezo ya binti huyu yamenitoa machozi dah poleni sana. 3
  • @
    @Mamatonny20654 years ago Hapo kuna vigogo na watu maarufu wanahusika na unyama huo.
    chunguzeni mtapata majibu.
    poleni sana na mkasa huo.
    3
  • @
    @lilianhope20754 years ago Dah polen saan ndugu zangu maumivu mliyonayo n makubwa saana mungu awape wepesi, 1
  • @
    @ladymuna49454 years ago Naomba ikiwezekana hatua kali ichukuliwe. Kisha na wao wazalilishwe wavuliwe nguo wafanyiwe walivyo fanyia wengine. Ili liwe funzo kwa watu wenye tabia . ...Expand 2
  • @
    @emmyanold56354 years ago Pole dada ang utapona tu hzo ni changamoto my dea. 2
  • @
    @faridaiddi1044 years ago Poleni sana dah
    wapenxi muwe kazi mnafunga jpo saa sita ucku.
  • @
    @simonmwembe6393 years ago Nimelia kama yamenikuta mm pole sana wachukuliwe hatua kifungo cha maisha kabisa wajalana hao.
  • @
    @totobad62284 years ago Poleni san kam watuhumiwa wame kaririwa sura bax sheria ita fanya kaz yake. 3
  • @
    @magejosia90264 years ago Aise hao mbwa wachukuliwe hatua kali sana tanzania yetu ipo huru why wakawapige watu tena ndani ya studio jamani so sad mm imeniuma mnooo. 3
  • @
    @baimarrajahbuayan62374 years ago Daa, mitihan kabisa
    polen tz hi kila kukicha mapya yaibuka.
    3
  • @
    @agnessmluge57844 years ago Mungu wangu zaidi ya unyama huu, poleni sanaa.
  • @
    @renfridaflorence43804 years ago Eee. Mungu wa huruma atuhurumue wanadamu. Poleni sana.
  • @
    @niachiemahehee25234 years ago Sheria kifungu namba gapi mpaka. Waweke wanaume wenzie vidole unyanyasaji huo. 3
  • @
    @frenkfrancis41514 years ago Uyo mama mwenye kiti akamatwe pumbavu sana uyo mama mwenye kiti akamatwe pumbavu sana. 1
  • @
    @Alimahrooi4 years ago Tz ni paradise lakini yanaotekea inavunja moyo hata kuja kuona ndugu na rafiki. 5
  • @
    @madpusher20363 years ago Ao makuma wanampiga dada mzuri namna hiyo.
  • @
    @thisiszai20454 years ago Mtangazaji unafanya kazi yako uzuri sana na umeonyesha una moyo waku jiweka kwenye nafasi ya wausika kuumizwa. 3
  • @
    @kibongobongo46084 years ago Uhuru, haki na maendeleo ya watu
    tarehe 28 tuyamalize yote haya.
    7
  • @
    @wardeeswai7164 years ago Pole sana salma mdogo angu achana na hayo maisha.
  • @
    @erickambwilo30344 years ago Wachukuliwe hatua na walipe fidia na garama zote. 9
  • @
    @najmasaleh55364 years ago Daa inaumiza sana allahawalani atawaonesha mbwa hawo. Polen sana husada tuu. Wa chukuliwe hatuwa ya kuzalilisha watu. 1
  • @
    @africanchocolate42164 years ago 1: hiyo kampuni ya acher au walinzi shirishi ama sungusungu au vyovyote inavyo itwa kama ni security company, ifungwe na ku futwa mara moja
    2: w 3: walipe gharama za vifaa vyote vya studio na tena wanunue vyombo vipya vya hiyo studio pamoja na milango, mageti, madirishana simu zote za wasanii ikiwemo fedha walizo iba! Walipe gharama za matibabu yote ya hospitali ikiwemo gharama za chakula, vinywaji, dawa na usafiri wa walio onewa pamoja na usafiri wa management ya hao wasanii siku zote kuanzia siku ya tukio mpaka watakapo pona kabisa.
    4: wawalipe gharama za malipo yaliyo kuwa yame pangwa kulipwa hao wasanii pamoja na fidia za management ya wasanii akiwemo producer na mshahara wake! Au mishahara yao kama kuna zaidi ya ma-producer (producers) walio shiriki katika kutimiza production ya album inayo andaliwa! Gharama za wapiga picha na video ambao wali kuwa wame tayarishwa ku fanikisha project nzima, wakiwemo watu wa beauty industry, kama make up artists, sound engineers, waandaaji na kutayarisha majukwaa au platforms! Pia hao walio umizwa walipwe siku zao zote mpaka watakapo pona, kwa sababu hawato weza ku ingiza ridhiki yoyote baada ya afya zao ku dhaifishwa kutokea siku ya tukio hili la kikatili!
    5: hao wahalifu wavuliwe nguo, kisha wachapwe na kupigwa kwa marangu, vibao na ngumi kisha watupwe jela kwa muda mrefu sana ili iwe fundisho kwa wengine! Haki
    .
    ...Expand
    8
  • @
    @zaituniluhwano24534 years ago Tanzanianm nchi ya amni lkn vitendo vinavyofanyika so sad. 2
  • @
    @barakamshiu71464 years ago Even if the studio had weed, the company was wrong on their means of attacking the studio. 6
  • @
    @safinachitanda15174 years ago Aise inaumiza sana udhalilishaji mkubwa sana jamani tuwe nautu sisi sote ni wa moja kwann tunatendeana unyama huu inackitisha. 1
  • @
    @lussevv17164 years ago Da ebwana azizi cassim school mate wangu duu pole sana niga du kumbe upo mzee aisee hao ni watu gani wasio mjua s2kiss kiasi hichoo aisee.
  • @
    @ilynpayne74914 years ago Hii nchi kumbe mtu anaweza vamiwa na kupigwa bila sababu yoyote ndomana hatuna imani naserikali. 1
  • @
    @pascallyimo51064 years ago Mimi ningekua naningekua katili zaidi duniani, hawa mbwa wangeipata fresh.
  • @
    @clintonnasib70794 years ago Am sorry for what has just happened my dear brothers and sisters sorry s2kizzy. 1
  • @
    @flevouronlinetv1334 years ago Hik nikitendo cha uzalilishaj ila polen san sheria itafuta mkondo wake usijal dada ang na wala usilie san. 4
  • @
    @aminatanzanya74754 years ago Hivi hiyo studio ipo sehem gan nasungusung kazi yake kulinda watu au kupiga watu aisee huyo dada kaniliza polen sana. 1
  • @
    @thomastemu99384 years ago Away mgambo sijui walinzitena kipindi hiki cha uchaguzi anko magu anawaangalia wasanii, mjumbe umeisha. 2
  • @
    @paskalmsavange21214 years ago Na huyo mjumbe alipe vifaa vyetu vya mziki. 2
  • @
    @furaharobert60474 years ago Roho mbaya tu watafutwe wote na huyo mjumbe ngese saana mxiu. 4
  • @
    @mboytz123 years ago Jeshi la police litafanya kaz yake na wakamatwe walifu. 1
  • @
    @agnesgervas80704 years ago Daah polen unashindwa hat u comment nn yan mpaka machoz yamntoka duh walimwngu jmn wngn hatuna huruma yan kupgwa bad navitu vyao mnabba nakuharbu vitu . ...Expand 3
  • @
    @rozzymosses26014 years ago Daah hapo kuna maswala ya wivu tu poleni san.
  • @
    @angelbwija95474 years ago Duu pole sana jamani ni huruma sana kabisa.
  • @
    @savavibes4 years ago Huyu dada alivyo mzuri yan anatakiwa ashukuru sana mungu maana amesalimika sana tena mnoo. 13
  • @
    @RoseRose-qj5pw4 years ago Ameniskitisha huyu dada sheria ifatilie na washtakiwe.
  • @
    @lovenesshenry26714 years ago So sad inaumiza sana kiukwel bt sheria itafata mkondo.
  • @
    @juliasmihwela13264 years ago Tatizo hua hamtujuzi mwisho watukio kwamba hao waliofanya huo unyama wamechukuliwa hatua za shelia?
  • @
    @zahrarashid60864 years ago Polen hao watapatikan tu tena watazibiw vikali.
  • @
    @mapenzi_tz15114 years ago Sungu, hao wanatafuta visababu vya kuiba wakijifanya wanalinda, mm nilishawai wachenjia wamenikuta hom wananiuliza naishi wapi, kifupi sungu wasikuizi miyeyusho wengi wanashirikiana na wezi.
  • @
    @allymkangara56954 years ago Hawo walinzi kwanza sheria hawajui wakamatwe haraka.
  • @
    @pioustrevol34684 years ago This is not fair, is humiliation uwez ingia kwa office ya mtu ukajudge km ivo ile n studio ya sanaa all people there are artists xx uyo mjumbe altaka wawe wanavaa nn mabazee au vitenge. 2