Duration 1:27

DSTV WAZINDUA TAMTHILIA MPYA 'KARMA' WEMA SEPETU NDANI YA NYUMBA⁣ ⁣ ⁣

105 watched
0
0
Published 31 Jul 2020

DStv kupitia Channel yake maarufu ya Magic Bongo imezindua rasmi tamthilia ya Karma ambayo ndani yake kuna wasanii maarufu Tanzania akiwemo @wemasepetu.⁣ ⁣ @wemasepetu amefunguka kuhusu Tamthilia hiyo mpya na kuelezea mazuri yaliyo katika Tamthilia ya Karma.

Category

Show more

Comments - 0