Duration 2:7:10

LIVE: KMC vs YANGA SC (1 - 2) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa CCM KIRUMBA MWANZA

33 690 watched
0
203
Published 25 Oct 2020

🔴#LIVE: KMC vs YANGA SC (1 - 2) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa CCM KIRUMBA MWANZA... Ni dakika 90 za mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya vijana wa Kinondoni KMC Vs YANGA SC, unachezwa katika dimba la CCM Kirumba Mwanza... DAKIKA 90 hizo zimemalizika kwa Yanga kuitandika KMC mabao (2-1) yaliyowekwa kimiani na Tuisila Kisinda kwa mkwaju wa penalti, lingine likifungwa na Waziri Juniuor akimalizika kwa kichwa mpira wa kona uliopigwa na Farid Mussa.. Kwa upande wa KMC ambao ndio waliotangulia kufunga, bao lake limefungwa na Hassan Kabunda.... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 3