Hali ya mtu kuonekana mtoto kimwili, haimaanishi kwamba huyo mtu ni mtoto hadi kwenye ulimwengu wa roho.
Ulimwengu wa roho uko tofauti sana na ulimwengu wa mwili..
Watu wote tuna umri sawa katika ulimwengu wa roho isipokuwa tumetofautiana muda wa kuzaliwa duniana!! Ambapo kuna waliotangulia na wapo waliochelewa.
Mfano; Bwana Yesu alipokua mtoto baada ya kuzaliwa na bikira Mariamu, haimaanishi kuwa alikua mtoto hadi katika ulimwengu wa roho. Mwilini alikua mtoto lakini rohoni ni Mungu kweli.
Endelea
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for MTUMISHI DAINESS SITTA MAJANI. HAKUNA MTOTO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO.: