Duration 7:40

Kupigwa Risasi Tundu Lissu | Maelezo ya Waziri Bungeni

166 744 watched
0
460
Published 26 Apr 2019

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ametoa ufafanuzi bungeni kuhusiana na tukio la kupigwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu , kupotea kwa watu mbalimbali akiwemo Azory Gwanda na Ben Saanane pamoja na matukio ya utekaji. Msikilize

Category

Show more

Comments - 345