Duration 4:55

HUYU NDIYE SWAHABA PEKEE ALIYE HAI.

422 475 watched
0
2.5 K
Published 5 Feb 2020

Huu ni mti uliopo katikati ya jangwa nchini Jordan katika mji wa Busra. Ni mti wenye historia kubwa kwa kuwa ndio shehemu ya kwanza kutambulika utume wa Mohammad ( S.A.W ) na umedumu kwa miaka zaidi ya 1500 unaitwa SWAHABA ALIYE HAI. Serikali ya Jordan imeujengea uzio ili kuulinda.

Category

Show more

Comments - 283
  • @
    @NusuraJuma-fj3gtlast month Allahu aqbar lailaha ilallha yaallah mpe her na baraqa nabii muhammad swala llahu alaih wa salam na utuongoze imma wake katika kheri na njia iliyo nyooka na Inshaallah utukutanishe peponii yaallah wabariq viongoz wetu wenye kupamban na kufanya jitihad zakuuzid kuutangaz uislmu na Inshaallah doctor Sulee allah akulipen na akupeni nguvu mpaka siku ya malipoo ...
  • @
    @lukmanyusuph93452 years ago Mashaallah eewe mola wetu tujaalie mwisho mwema 3
  • @
    @ahmedkamenya19833 years ago Umeenda tofauti rudi tena Madrasa, ukaisome vizuri sira 4
  • @
    @bellbell92943 years ago Maashaa Allah tabaraka Allah shukraan kwa ujumbe mzuri Sana Allah akulipe kher 2
  • @
    @othmanmohammedhabibu78223 years ago SubhanaAllah ARRAHMAAN akulindeakuhifadhimsimuliziwetu
  • @
    @janecosmas81839 months ago MashaAllah nimefurahi tu sana kusikiza hicho kisa
  • @
    @DloveAfrika3 years ago MaashaAllah, shukran kwa makala hii sheykh 3
  • @
    @rashidkhalifa353 years ago That is good and we need continuation of it 2
  • @
    @matatasaid7333 years ago Daah! Hakika inapendeza mpaka inasikitisha 1
  • @
    @swalhashuaibu81493 years ago Wallah mta ulizwa nyie na wallah mtume aliwahi kusema kama katika marafiki yake au katika maswahaba wake ni mti laaaaa wazushi mnamtihani Sana wallah 1
  • @
    @marrowog89753 years ago Swala allahu alaih waswala, allahu akbar 1
  • @
    @ommaryrichard92983 years ago Mashallah Allah amuifadhi huyo swahaba
  • @
    @abdulmalickupete90153 years ago Nia bora ya mwandishi inaharibiwa na maoni ya wapuuzi wasiozingatia historia hizi ni ishara za uwepo wa maamuzi ya mungu kwa juu ya utume 1
  • @
    @thesalafifoundationTz6 months ago ASSALAAM ALAYKUM...ENYI WAISLAMU HAKIKA SWAHABA NI MTU ALIYEKUTANA NA MTUME SWALALLAAHU ALAYHI WASALLAM NA AKAMUAMINI NA AKAFA HALI YA KUWA YEYE NI MUISLAM SASA HUU MTI HAUWEZI KUWA NI SWAHABA KWA SABABU UMEKOSA SIFA YA KUWA NI MTU ...
  • @
    @abdulwahabismail54473 years ago Ma sha Allah. Kindly avoid using pictures when discussing the prophet and his Sahabas. 1
  • @
    @mohamedfaris30003 years ago Mtume kazaliwa Makka lakini wakati huo hakukua na Saudi Arabia!! 3
  • @
    @nurdinikisoma54522 years ago Wew acha abali zako mti auwezi kua swahaba aujui taarif ya swahaba ludi kwa wanqchuobi
  • @
    @thesalafifoundationTzlast year ASSALAAM ALAYKUM
    WAISLAM MNATAKIWA KUSOMA DINI YENU KWA WATU SAHIHI ILI MUEPUKANE NA WAPOTOSHAJI KATIKA DINI
    MAANA YA SWAHABA SHARTI LAZIMA AWE NI BINAADAMU SASA MTI TANGU LINI UKAWA NI BINAADAMU AMKENI WAISLAMU ...
  • @
    @nurudinibakari57013 years ago Pamoja na swaga zote hitimisho ni kuwa tutumie akili za kidini huu ni Mti huu si Swahaba au maana ya Swahaba itakuwa hajui. Ama Swahaba wa mwisho kabisa ni Abu Tufail bni Amiril Laithiy mwaka 100H.
  • @
    @allygoodboytzsdoneintanzan39703 years ago Allahu Akbar inshallah Allah Akbaru Allah
  • @
    @mussaissa67963 years ago Mti hauwezi kuwa swahaba mzee
    Swahaba ni mtu aliyemuona Mtume s.a.w na kumwamini
    Sio mti
    Kwa hiyo acheni fiksi
    1
  • @
    @abubakariali98483 years ago Duuh..! Mama yake Mtume alifariki, Mtume akiwa na miaka 6 1
  • @
    @husseinmohamed62983 years ago Nani aliyekwambia kwamba Abuu twalib hakusilimu? 1
  • @
    @hassanbinuri94123 years ago Umefeli hapo mwisho abuutwalib nimuislam
  • @
    @ibrahimissango10833 years ago Kumbe mwanazuoni ndo alimpa mtume na sio mungu
  • @
    @mfakimalengo64373 years ago Maelezo hayo sio ya ukweli: swahaba ni yule aliyekutana na mtume na akamuamini mtume na akafa ktk iimani ya uwislam huyu ndio swahaba. 1
  • @
    @kilimodiwanikilimodiwan356811 months ago Naomba kuuliza, mji wa Maka upo ndani ya bala gani?
  • @
    @nicholauskilosa533611 months ago Yaani mkristo ndio mtu wa kwanza kujua utume wa Muhammad!!! Mbona sasa hamuwaamini kama wacha MUNGU
  • @
    @salimaliy52433 years ago Mtigani kwaulimwengu huu unatimizamika 1500
  • @
    @abuusaad57913 years ago Sahaba mti methibitishwa wapi na uislamu (Din)?
  • @
    @issaidrisamusa84373 years ago Hakuna swahaba aliyehai tusidanganyane
    HII DINI IMEKAMILIKA
  • @
    @bonifaceomallya92013 years ago Kumbe ukristo ulianza kabla hata ya Muhammad
  • @
    @binali38713 years ago Achauongo tokealini mti kupata sifa ya uswahaba
  • @
    @jaystartz13063 years ago Mpaka waislamu wanasema jamaa muongo kweli hii halipo kwenye quran
  • @
    @abuuirfaan7403 years ago Kwanza unatoa history mbovu achana kueleza mambo ya dini wakati ww ndi mtu wa hawaaa
  • @
    @yasakilube99463 years ago ‘Swahaba’ maana yake ni Muislamu aliyemuona(alisuhubiana nae) Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam), akamfuata na kumuamini na akafariki katika imani hiyo.
    Na hii ina maana kuwa, yeyote aliyewahi kumouna Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) na asimuamini, basi hawezi kuingia katika maana ya neno ‘Swahaba’.
    ...
    1
  • @
    @zanoceantourssafari.74773 years ago Huna kazi weee utawaburuz ao wakiristo wenzio.lkn muislam as hatosem hyo..nenda ukasome ujue ukwel chiz wee
  • @
    @user-ck9qt2xu8e3 years ago Sio wazima nyie. Hivi kuna swahaba aliyekuwa mti au mnyama? 3
  • @
    @kedrickbenedicto92544 years ago Hawandio wanaoibia watu na maji ya mto jodan mitikamahii inatakiwa kukatwa watu wanafanyia ushirikina 1
  • @
    @hadijanassor70033 years ago SASA MTI SAHABA AU HADITHI YA MTUME.? KWANINI USIONGELE JIHAAD..!😠😠😠😠 ACHENI KUPUMBAZA WATU NYINYI... 1
  • @
    @farajimtana1233 years ago Sasa Mti na sahaba vina husiana nini SIRA uliyo elezea kwa kiasi flani ipo vizuri ume koroga hapo tu sahab aliye, hakuna sahaba aliye hai huo Mto sio sahaba
  • @
    @yussufmwinyi46044 years ago Maelezo haya umeyatoa katika kitabu kipi cha seerah? Ulibaini usahihi ? Unaupotosha umma 2
  • @
    @ramshboy62183 years ago Nimzur ila kuna kitu ulikosea kidog bro mtume muhammad s.a.w alipo zaliwa tu mamayake alifariki na kunyonyeshwa na amina bint wahababi
  • @
    @stevensteve75193 years ago Kwahiyo ikiwa baba yake mdogo mtume Muhammad hakuwahi kuwa muislam hadi anakufa je alikuwa muumini wa dini nyingine? Au hakuwa na dini kabisa kwamaana alikua mpagani?
  • @
    @mussaissa67963 years ago Labda huo mti mngeuita
    Alama pekee inayoishi na historia ya maisha ya Mtume Muhammad s.a.w
  • @
    @jumanneissa82263 years ago Hapo ndo utagundua upumbavu wa watu kielimu swahaba ni mti? Innalillah wainnaillah rajoon ni dalili gani ktk Quran au sunna kwa mafundisho ya waja wema walio tangulia someni
  • @
    @jumamohamedi44953 years ago Ningekuwa ndio kiongozi Wallaah ningeufekelea mbali huu mti.
  • @
    @salimaliy52433 years ago Wajinga ndio waliwalo, msikilizeni tu mjingauyo sasaivi atachangishawatupesa ili awauzie hayomajani
  • @
    @eng.saalim86463 years ago acheni kupoteza umma. mnataka kupata pesa kwa kivuli cha dini
  • @
    @raqmaanu4663 years ago Islam sio ile dini ya papai kaleta yesu ndiiiyoo
    Huna elimu huna dalili ya kuran na suna kaa pembeni usilete uchafuu katika dini
    ALLAH ATUONGOZE
  • @
    @babanusayba36003 years ago Nani amewatangulia kwa taarifu hiyo kuwa mti unaitwa swahaba ?
    Mcheni Allah wajinga nyinyi
    1