Duration 2:5

JINSI YA KUPIKA NAAN BREAD

835 watched
0
10
Published 25 Jun 2020

karibu katika mapishi na Amanda, leo tunapika naan bread mahitaji unga wa ngano nusu kilo hamira/yeast nusu pakiti chumvi kijiko kimoja cha chakula sukari vijiko 2 vya chakula baking powder kijiko kimoja cha chai butter mkate huu unatumika pia kwenye kutengeneza shawarma na unaweza kuliwa na kitu chochote

Category

Show more

Comments - 0