Duration 3:49

UTACHEKA VITUKO VYA WACHEZAJI WA SIMBA WAKIONGEA KINGEREZA / manula, gadiel

53 457 watched
0
294
Published 14 Sep 2021

#simbacs #mwanahalisitv

Category

Show more

Comments - 31
  • @
    @sprtmsc57303 years ago Timu kubwa upendo usio ongopa kwa namna hii wataka sana kusubr kushuka mungu azidi kuwapa upenda na umoja huohuo chama langu nafrai sana kuona upend huo yan ni zaid ya familia. 11
  • @
    @mariapialakanje34462 years ago Safi mnavyopendana jmn inafurahisha raha sana haki, inpendeza like fmily. 1
  • @
    @baimarrajahbuayan62373 years ago Saf mna umoja, mapenz ushirikiano. Na wapenda mungu awazidishie hiyo hali daimaaa . 1
  • @
    @comrademlewaisavile3363 years ago Nmecheka ety sijazaliwa uingereza ngeli bwana. 9
  • @
    @ibrahimlema.36003 years ago Furaha idumu daima chama la wanaa simbaah. 1
  • @
    @salehestambul55353 years ago Nimewapenda bure wanyamwezi, ajibu kumbe so happy hadi raha. 1
  • @
    @sharifahalifa92073 years ago Bg up wana pambaneni sio kama uto timu ya mama j. 5
  • @
    @amadiamadimchika93343 years ago Kulen bata hii ndo tunapend mashabik zenu. 4
  • @
    @mariapialakanje34462 years ago Dah wanajichana jmn hawa mpaka raha kuleni hlfu uwanjani mtupe matokeo mzuri. Hongereni vipenzi tunawapenda sana mnauoendo inafurahisha jmn. Dah sijutii kuipnda hii timu jmn. Iko vzuri umoja upendo kila kitu dah. 1
  • @
    @joachimkalungwana86543 years ago Msile bata ikawa kama kule shimoni kwa madiba kumbukeni yale matokeo. 3
  • @
    @alishaibu88272 years ago Shabalala kakusanya keki anakwambia akiba haiozi.