Duration 3:24

Deestar sniper Freestyle and counseling ( official music video )

1 201 watched
0
29
Published 16 May 2021

Freestyle and counseling Ni wimbo ambao unaelezea lifestyle ya kwake DEESTAR SNIPER , pia ameeleza ni vitu gani anavyohitaji kuvipata kwenye maisha yake na vipi ataishi au ataishi kwenye mfumo gani #Freestyle Pia ameweza kutoa ushauri au mawazo ambayo ni mazuri kwa mwenye kuzingatia katika mfumo wa maisha atakayotaka kuishi. Tunawaona wengi ambao wanajaribu kuiga maisha ya kina fulani ili tuu na wao waonekane ni watu wanaoenda na wakati bila ya kujali heshima ya watu waliomzunguka pamoja na wazee kiujumla . #Counseling Chukua au fanya unachohisi kwako ni sahihi kwani dunia ni ya wote ila tuu heshima ndio ngao kuu katika maisha ya mwanaadam Dir - Khalil & Bloop threet Art - Deestar sniper Prod - Marash & Tash Stud - Isound Record Label - ssrworldwide Light - Official Thamo Spon - Vanhanden Comp, boss - Mopaojimmie For booking Phone +255774252975 Phone +255655810218 Email - Deestaraliy@gmail.com Email - Gumbomails@gmail.com Email - ssrworldwide5@gmail.com Contact with him in social networks Twitter https://mobile.twitter.com/Deestar_sniper Instagram https://www.instagram.com/deestar_sniper/ Facebook https://m.facebook.com/#! /idrissa.ali.35 Special thanks kwa fans wangu woote More support , nawapenda sana 🙏🏾🙏🏾❤️❤️✌🏾✌🏾

Category

Show more

Comments - 9