Duration 8:33

Huyu ndiye baba Mzazi wa DIAMOND MAMA DANGOTE afunguka mazito ''Mzee Abdul alikataa Mimba ya Naseeb

23 362 watched
0
403
Published 15 Jan 2021

#DiamondPlatnumz #MamaDangote

Category

Show more

Comments - 299
  • @
    @khadeejaabdullah70833 years ago Daah
    ila mzee abdul shukru mungu kwa kila jambo bora wamekukana ukiwa hai.
    36
  • @
    @hamzaalawy66943 years ago Harmonaizi ni kiboko wa wasafi, daimond anakwenda kushuka kimziki na nafasi yake inakwenda kwa konde gang, mama dangote ameharibu utu wa daimond. 10
  • @
    @mjasiriamalishupavulailamu71633 years ago Asante mamadangote jamani kumbe nigundua mimi ninaakili kubwa cikuwahi kutetea guys mzee nikijua kunatatizo lipo dai sipunguani kiasi hicho kutotoa msaada. 2
  • @
    @janatahmad70483 years ago Njo nasema mue munaacha kuingilia mafamillia ya watu na hamujui cha ndani sasa na huo mama dangote jamani esma kumbe amebeba tabia za mama yake ewe mungu niepushe hi. 11
  • @
    @zainabozainaty61883 years ago Sina hata chakusema dunia iyi inamengi mungu atustiri. 3
  • @
    @munirashughuli72243 years ago Mrongo huyo mma mbona siku zote hawakusema mmh yote ajuae ni mungu. 2
  • @
    @princess-uf5ux3 years ago Mama diamond alikuw mdangaji ndoman asma anachezewa. 30
  • @
    @khamoshmikidadi92623 years ago Sasa miaka yote iyo kwnn asiseme ukwel mpk diamond anatumia jina l mzee abdul n watt wake wote wanatumia jina la babu yao abdul uyo mama muongo mtu akatae mimba hlf awe baba mlezi. 6
  • @
    @user-xi1pi4zr3b3 years ago Wa 1. Nakubali sns nlikua naisubiri hii ishu. Mama kakaa kimya sku zote. 1
  • @
    @aaa64sa133 years ago Mtihani wallah. Siku zote siri ya mtoto anaijuwa mama. Waweza mkumlea mtoto asie wako mpaka siku zako za mwisho bila kujuwa. Mama zetu wamebeba siri nzito kwa watoto wao. Allah atustiri inshaallah. 16
  • @
    @sidisafari87123 years ago Jamanii basi mbona huyu mama hakueka wazi toka kitambo hili jambo jamani haki naumia kama mzazi wakike. 1
  • @
    @meshackngaboss12363 years ago Ila hii habari sio mpya imewahi kuandikwa na gazeti la ijumaa mwaka 2012 na walimtaja huyu mzee kwamba ndio baba yake na sio mzee abdul. 2
  • @
    @fatmamdigo18483 years ago Mama umechanganya na harmonize kweli. Wapo. 1
  • @
    @hustlerhustler43093 years ago Situkani, ila mwanamke n mtu mwingne cjui kama nn, yaani waeza zaa nae watoto kumi kumbe wote niwa nje tu alafu ww unabakia kuwa baba mlezi. 3
  • @
    @neemayatosha16183 years ago Hii situation natamani masoud kipanya aichore. 2
  • @
    @bigbossmanbossman69463 years ago Nimepata funzo hapa usilee mtoto wa mkeo. 3
  • @
    @nengajuma9723 years ago Huy haone aibu kila xik kupewa mabab weng huna bab kam kuku. 4
  • @
    @jabalimikechi77503 years ago Come on guys how come. Mtu akatae mimba kisha akubali kuwa stepfather, this doesn' t make any sense. 9
  • @
    @Alikuku83 years ago Kama alikata mimba mbona alimpa diamond jina ya abdul hii ni kiki. 24
  • @
    @mako3313 years ago Mzee abdul anakaa alikuwa mtu wa viwanja sana huku dogo na mama wakisota aisee.
  • @
    @episawaki32403 years ago Haya mambooo mmh mm mwanamke ilaa dah tunasiri kubwaa ambazo mmh. 1
  • @
    @mariamibrahim31623 years ago Du ila sio vizuri mm sikupenda kweli aya mambo wangemaliza tuu kifamilia kuliko kutupa faida as inauma haki. 8
  • @
    @rodneyexavery3113 years ago Umefanya vyema kuongea ya moyoni mama dangote mi nimekuelewa xanaa, chukua hatua ya kuuelewa ukweli tu hakuna namna.
  • @
    @jassonnelly34453 years ago Acha na mwanamke bana hawa watu wanaweza beba siri nzito sana siku ukitibua tu maji utayanywa. 5
  • @
    @paidenasra45483 years ago Mungu amlinde uyu mze ayo ni zaidi ya manyanyaso. Sandra ni roho mbaya sana, ni uwongo mtupu ndani yake, mbona mda wote hu ajasema ivo. Mungu atawalipa ubaya wenu. 4
  • @
    @bojobojoni62473 years ago Akili ya huyu mama anajua yeye mwenyewe
    Ila ni songi la hatari sn!!
    Mpaka watu wanapoteana
    26
  • @
    @saidachimmy80743 years ago Uyu mma asituchanganye kma alikataa mimba mkawa hampo pamoja mbon picha zipo zinazoonyesh mzee abduli, mma dangot na nasibu wapo p1 nanasibu kakubwa tu. 4
  • @
    @scollapatric83423 years ago Duh hy yote nijeuri yapesa tu mama mshezi kwel huyu.
  • @
    @davidndaha96073 years ago Ukweli unauma sana lazima waambiane ukweli mapema.
  • @
    @ashuramuhinde99543 years ago Kwanini ampe jina la nasibu abduli kama alijuwa siyo baba mzazi. 1
  • @
    @barrysulty17563 years ago Waende wakapime dna musituzengue musimuogope huyo mama waende wakapime, m2 akatae mimba alafu aje alee mtoto haingii akilini, mbona hujatumia jina la huyo babake mzazi! 2
  • @
    @ibrahim10chimah643 years ago Harmonize kalivuruga wameanza kutafutana. 34
  • @
    @mwanahamisihussein49353 years ago Huyo baba hana faida kashatangulia mbele ya hakii, mbona hukusema angali yupo hai.
  • @
    @taraagire61763 years ago No, wander diamond was so cool toward abdul juma! I hope harmonize and the others who were saying eti diamond was not helping but abdull did help id="hidden9"him from before! That why people should not talk about familys u never inside. ...Expand
  • @
    @neemakaluwa18413 years ago Jmn! Kweli!
    au ndo mnatuzima ya
    mswiza na dada!
    1
  • @
    @fatmasalum32593 years ago Pesa jamani inawachanganya watu mpaka baba leo hii hiitwa mlezi kisa wimbo aliyo utoa hamonzinz mtihani mzito huu jaman kesho mama danhote hayupo mali nani atarithi mhitani huu.
  • @
    @peterjackson95983 years ago Nitashangaa sana vijana wakilalamikia ajira wakati ukiunganisha story nzina kutoka kila pande kitabu chenye page 309 au 500 kina andikika kabisa ela ya . ...Expand
  • @
    @aminakupila30793 years ago Mi ndio maana naangalia sns hapa wanauruma na hekima na wanautu nakufata sheria za nchi namaadili yetu.
  • @
    @saumuimeda51813 years ago Hawana jipyaa hao wanakwepa bomu la harmonize tu sabb kasema ukwel. 6
  • @
    @christophermahawi49203 years ago Sasa kwanini ulitumia jina la abdul we mama?
  • @
    @aminakupila30793 years ago Mhh tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo wote. Kwaiy kwakua wamefungiwa ndio wameanzia kutoa siri za ndani ili redioni na youtube wapate hela kwe id="hidden12"li mtu anaejishaua akikosa helahuwa wanatumia njia zote walivyofungiwa kwa ujinga wa mtu 1mpenda pesa hadi anava uchi wao dunia ikasimama na toka jana dunia imesimama inamuingizia (d na kampuni) pesa za kuwa kila wafanyakazi mshahara. ...Expand
  • @
    @maloomaalmnsj51113 years ago Mmh mnafosi kufanana daimondi nyangee hahahahahaha mapya aya.
  • @
    @nooraka40003 years ago Hii familia nkifa ntaimic sana nakiwa kaburinmaana imenshinda tabia. 8
  • @
    @everlineeverline1053 years ago Na mbona hakuenda kuishi naye huyu nyanje juu mimba iliua yake? Mbona kazalia kwa mzee abdul na mwenye mimba alikua. Huyu mama dangote alikua mdangaji mkuu. Formular yake ilikua 10% 1
  • @
    @halimamohamed11133 years ago Mzee anaekulea ndio muhimu kuliko biological sawa na kuambiwa kubeba mimba sio kazi kulea. 2
  • @
    @nadrahassan52413 years ago Wanajisafisha ili watu waone kama wanahaki kutomsaidia baba yake. 3
  • @
    @babylonyNgwembe3 years ago Sasa wambea tafuteni njia nyingine ya kumuumiza diamond but plan a imeshafeli. 2
  • @
    @iucykalondu55593 years ago Uyo mzee abdul anafanana na diamond kabisa no need ya dna ata. 1
  • @
    @maryamm77653 years ago Kwamaana hiyo ukoo wanaupunguza? Kwini sio ndugu yao mh.
  • @
    @charlesmajiwa67713 years ago Mbona watu wengi wanalea watoto co wao, akina mama ndo wanajua baba wa kweli. Miaka yote alikuwa wapi huyu mzee abdul mpk chibu kafanikiwa ndo anajitokeza. . ...Expand
  • @
    @lavieestbelle32633 years ago Jamani tuache unafki huyo picha ya huyo baba anafanana na daimondihii familia pia inamatatizo hata kama mzee abdul nibbaa wa kufikia wanapaswa wamuheshimu na kumsaidia.
  • @
    @zakyahya46453 years ago Ila nyange ni kweli kafanana na diamond numetizama mara zote na uyu mama alikua ni mdangaji tu na alimpa mzee abdully mimba kwa sababu ya kupata tonge tu uyu mama ana laana sio ndogo.
  • @
    @user-ot2io4cy6w3 years ago Duh.
    huyu mzee nyange ni copy halisi ya diamond yan hapo hakuna haja ya kubisha ni yeye jaman.
  • @
    @lilianmyenda63313 years ago Mimi huzuni yangu ni kwa mondi
    sarakasi zote hata uwe mtu mzima kiasi gani, maumivu hayana umri.
  • @
    @mbembelatv3 years ago Ngoja nika turn on notification kwa mange. 4
  • @
    @najma32683 years ago Nimeshangaa na mimi, sema mama ndo anajua mtoto wa nani. 7
  • @
    @MosonVevo3 years ago Hii ndio shida ya kuwa na vita na mjomba nchumali.
    na bado
    kombolela inawahusu na sjui kama mtapatana
    ngoja mi nikajifiche.
  • @
    @sultanadam55293 years ago Alikataaje mimba na bado akakua baba mzazi kivipi mbona siwaelewi naomba munifahamishe.
  • @
    @misrahmisrah87613 years ago Bi sandra anamtafutia diamond lana hata kama diamond sio baba lakini aweke heshima wasimpe chochote huyo baba mlezi lakini wampe heshima. Huyu mama atakuwa amelewa si bure. 6
  • @
    @leilaachmed92713 years ago Kila siku ni matatizo familia hii hawaoni aibu. 1
  • @
    @muanashaswaleh51103 years ago Sasa ili jina lakumuita mtoto nasibu abdull juma ilikua ya nini.
  • @
    @shabanialfani53943 years ago Mimi nimshauri anko shamte kuwa ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji huyo mwanamke ameonekana hana nidhamu hivyo tumia msingi kiuno kupiga mafungu mapema . ...Expand
  • @
    @mariamhassan17233 years ago Mpaka kichwa cha niuma kwa familia isonihusu. 4
  • @
    @aminamussahmsumuka65583 years ago Ila hata kama sio mwanae haikuwa na haja ya kumuanika mitandaoni wangeyamaliza kimya khaah huyu mama kichomi kweli kapost mpaka picha ina maana alimbambikia mimba.
  • @
    @nahayohamza70903 years ago Uyo maman ni shetani hana akili kweli kwani kusema aongeye hayo yote hajuwi kama anajishushia heshima ila njo familia ilivyo lana tupu. 4
  • @
    @hassanbaraza11653 years ago Mmmh hyo baba mpya hata hajafanana na diamond. 1
  • @
    @bimumaulid11713 years ago Ni kweli kafanana nae kwa nini asitumie jina lake.