Duration 12:1

BREAKING: MORRISON ASHINDA KESI DHIDI YA YANGA, APELEKWA KUHOJIWA KAMATI YA MAADALI

82 576 watched
0
388
Published 12 Aug 2020

🔴#BREAKING: MORRISON ASHINDA KESI DHIDI YA YANGA, APELEKWA KUHOJIWA KAMATI YA MAADALI... Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema Bernard Morrison ameshinda kesi yake dhidi ya Yanga Sc na ataendelea kuwa mchezaji halali wa Simba Sc baada ya mapungufu kukutwa kwenye mkataba baina ya Yanga Sc na Morrison. Morrison anapelekwa kwenye Kamati ya Maadili ili kuhojiwa kwa kosa la kusaini mkataba wakati kesi yake ya msingi dhidi ya Yanga ilikuwa haijaanza kusikilizwea wala kutolewa maamuzi ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 219