Duration 5400

Mazishi ya Mkurugenzi wa Maudhui,Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group,-Ruge Mutahab

85 watched
0
0
Published 4 Mar 2019

Mazishi ya Mkurugenzi wa Maudhui,Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group,-Ruge Mutahaba yamefanyika kijijini kwao Kiziru Kabale mkoani Kagera. Kabla ya kufanyika kwa mazishi hayo, mamia ya Wakazi wa mkoa wa Kagera na wengine kutoka mikoa mbalimbali nchini, waliuaga mwili wa Marehemu Ruge katika viwanja vya Gymkhana vilivyopo katika Manispaa ya Bukoba. Mazishi ya Ruge yamehudhuriwa viongozi mbalimbali wakiwemo wa Dini, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya pamoja na Wabunge.

Category

Show more

Comments - 1