Duration 11:9

MBUNGE MUSUKUMA BUNGENI LEO FAINI BODABODA IWE 2000 AU 1000

61 360 watched
0
267
Published 14 Jun 2021

"Faini ya bodaboda mimi nashauri hata hiyo 10,000 bado ni nyingi, tungeweka hata 2,000 lengo letu sio faini, lengo letu ni kuwawezesha watoke kwenye bodaboda wanunue magari hakuna mtu anapenda kuendesha bodaboda miaka mitano au kumi anaumia kifua, mimi kama Mbunge nashauri hata hiyo 10,000 umeanza vizuri lakini tufikirie kwenda hata kwenye 2000 hata buku kwani kuna shida gani nchi ina pesa nyingi"-Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma

Category

Show more

Comments - 71