Wiki hii tunaendelea kusheherekea wiki ya wanawake wazalisha mali za viwanda vya Kitanzania 🇹🇿 Wanawake mabilionea watarajiwa walionyesha;
- Nia ya kuendelea kuzalisha bidhaa zenye ubora
- Kuongeza ushirikiano
- Kupeana Ujuzi na
- kufungua njia za kiuchumi.
Tazama video kamili kufahamu mengi kuhusu wanawake walioshiriki, tuzo na bidii zinazofanywa na wanawake katika kukuza bidhaa za kitanzania.