Duration 25:26

LIVE : HALI ILIVYO UWANJA WA MKAPA, MASHABIKI WAFURIKA KAMA WOTEEE..

26 214 watched
0
123
Published 11 Dec 2021

🔴#LIVE : HALI ILIVYO UWANJA WA MKAPA, MASHABIKI WAFURIKA KAMA WOTEEE..... 🔴Kariakoo Derby leo Novemba 11, 2021 moto unawaka, ni miamba miwili mikubwa ya soka nchini Tanzani inashuka dimba la Benjamin Mkapa, SIMBA SC VS YANGA SC, Mnyama dhidi ya Wananchi🔥🔥 Kama kawaida #MpenjaTV tunakuletea Updates zote za uhakika na weledi, endelea kuwa nasi. #SimbaVsYanga #KariakooDerby #Simba #Yanga #NBCPremierLeague #TFF #TPLB #MpenjaTV

Category

Show more

Comments - 10