Duration 7:29

Fumanizi la Usagaji: Wajakazi wajipata katika biashara hatari Nairobi

757 427 watched
0
1.3 K
Published 11 Apr 2017

Baada ya upekuzi wa zaidi ya miezi mitatu hatimaye sasa KTN leo inaripoti kuwa sio wajakazi wote wajao jijini Nairobi hufanya kazi za uyaya walizoahidiwa. Imebainika kuwa wengi hujipata mikononi mwa waajiri laghai wanaowaingiza kwenye biashara haramu za kuuza picha na filami za ngono baina ya wanawake katika nchi za kigeni bila hiari yao. Huyu hapa mwanahabari wetu Lofty Matambo akitufichulia biashara hiyo inavyoendeshwa mtaani Donholm hapa jijini Nairobi katika makala ya Fumanizi la Usagaji. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: /KTNkenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Category

Show more

Comments - 445