Duration 5:11

KUSHUKA KWA SHINIKIZO LA DAMU | PRESHA KUSHUKA:Dalili, SababuMatibabu

13 010 watched
0
115
Published 22 Jun 2020

Kushuka kwa shinikizo la damu (hypotension), ni hali ya kuwa na shinikizo la damu lililo chini sana kuliko kawaida. Hii humaanisha moyo, ubongo, na sehemu nyingine za mwili hazipati damu ya kutosha. Dalili zinaweza kujumuisha: • Kuona maluweluwe • Kuchanganyikiwa • Kizunguzungu • Kupoteza fahamu • Kuhisi usingizi • Uchovu/ Kukosa nguvu KUJIFUNZA ZAIDI *Website:http://wikielimu.com/index.php?title=Kushuka_kwa_shinikizo_la_damu TUFUATILIE HAPA *Facebook:https://web.facebook.com/WikiElimu/?_rdc=1&_rdr *Instagram:https://www.instagram.com/wikielimu/ *Twittwer:https://twitter.com/hashtag/wikielimu MUSIC CREDIT *https://www.bensound.com ASANTE KWA KUWA NASI

Category

Show more

Comments - 22
  • @
    @jegaboyboyjega4648last year Asant san kwa ilo somo yan kam umeniandalia mm.
  • @
    @mtaalamshekidele16614 years ago Kazi nzuri daktari maelekezo mazuri kabsaa. 2
  • @
    @odettajames10254 years ago Baba anadalili kama izo kila akienda ospitali awaoni ugonjwa tufanye je naomba msaada.
  • @
    @mukeragabilodiana93913 years ago Je ukiwa na ugonjwa wa shinikizo wa damu unaweza kutumia tunguru swaumu.